Miradi Mipya

2
0

Mradi wa viwanja Pingo Chalinze

TZS1,966,500.00 - TZS 4,054,500.00

Miliki kiwanja PINGO Chalinze kwa Tsh. 4500/= kwa 1 square meter. Mradi upo 2.9KM kutokea Morogoro road.Malipo yanaweza kufanyika kidogo kidogo, ndani ya miezi 36. 

  • No Prerequisites Needed
5
0

Simu ziite, nunua kiwanja kigamboni buyuni sasa

TZS2,040,000.00 - TZS 10,000,000.00

Miliki kiwanja kigamboni buyuni kwa 2,040,000 tu au kwa malipo ya 120,000 kila mwezi hadi utakapo maliza malipo yote. viwanja vinapatikana kilomita 1.5 kutokea bahari ya hindi na kilomita 1 kutokea barabara kuu

  • No Prerequisites Needed
3
0

Wekeza kwenye ardhi ya kigamboni kimbiji (potea)

TZS3,400,000.00 - TZS 5,958,500.00

  • No Prerequisites Needed